2523; Tatizo unataka kusikia unachotaka.

By | November 27, 2021
2523; Tatizo unataka kusikia unachotaka. Zoezi la kutoa na kupokea ushauri limekuwa zoezi lisilo na manufaa kwa wengi wanaoshiriki. Hiyo ni kwa sababu watu wengi wanaoomba ushauri, siyo kama wanataka ushauri kweli, ila wanataka wajue kama maamuzi waliyofanya ni sahihi. Yaani ndani yao wanakuwa tayari wameshafanya maamuzi, ila wanaomba ushauri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In