#SheriaYaLeo (32/366); Jifunze kwa kufanya.

By | December 2, 2021
#SheriaYaLeo (32/366); Jifunze kwa kufanya. Ulipokuwa mdogo, wazazi na jamii ilikufundisha mambo mengi kuhusu maisha kupitia maelekezo na mifano. Ulipoenda shule ukafundishwa mambo mengine mengi kuhusu kazi na biashara kupitia maelekezo na mifano. Unapoingia kwenye dunia ya uhalisia, katika kuyaishi maisha na kufanya kazi au biashara, ndiyo unagundua yale uliyojifunza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In