2529; Mrefu halafu mfupi.

By | December 3, 2021
2529; Mrefu halafu mfupi. Kwenye ukurasa uliopita (2528), tumejifunza tamaa ya kutaka vingi kwa pamoja inavyokuwa kikwazo kwa wengi kufanya maamuzi. Watu wanachelewa kufanya maamuzi kwa sababu hawataki kukosa fursa nzuri zinazoweza kujitokeza baadaye na hilo linakuwa kikwazo kwao. Huo ni upande mmoja ambao watu wamekuwa wanatumia kukwepa kufanya maamuzi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In