#SheriaYaLeo (33/366); Anachohitaji Menta.

By | December 3, 2021
#SheriaYaLeo (33/366); Anachohitaji Menta. Ili kujifunza kwa vitendo na uhalisia, unahitaji mtu ambaye tayari ameshafanikiwa kwenye kile unachotaka kufanikiwa ili awe menta wako. Ni kupitia menta huyo ndiyo utajifunza kwa uzoefu ambao yeye ameupitia mpaka kufika alipofika. Atakusaidia kuepuka makosa ambayo yeye alifanya ili usijicheleweshe. Ni muhimu sana kumpata aliyefanikiwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In