#SheriaYaLeo (35/366); Thamini kujifunza kuliko

By | December 5, 2021
#SheriaYaLeo (35/366); Thamini kujifunza kuliko mengine yote. Kadiri unavyopiga hatua kwenye maisha yako, utasukumwa kutafuta fursa zinazokuingizia kipato kikubwa zaidi ili kuweza kuendana na hali ya maisha. Hilo litakusukuma kutafuta kazi au biashara ambayo inakulipa vizuri zaidi. Kwa bahati mbaya sana, unapopata kile kinacholipa zaidi, huwa hakina fursa za kujifunza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In