Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

3285; Siyo kwa ajili yako.

By | December 29, 2023

3285; Siyo kwa ajili yako. Rafiki yangu mpendwa,Pata picha umepewa nguvu ya uumbaji wa mnyama ambaye atakuwa na manufaa makubwa kwa watu.Sharti ni unaweza kuumba mnyama mmoja tu, lakini unaweza kuweka chochote unachotaka kwa mnyama huyo. Kutokana na mahitaji ambayo yapo, wewe unaona ukiumba paka ambaye anaweza kukamata vizuri panya (more…)

3284; Kuanza na kumaliza.

By | December 28, 2023

3284; Kuanza na kumaliza. Rafiki yangu mpendwa, Watu wamekuwa wanaanzisha vitu vingi kuliko ambavyo wanavimaliza au kuvikamilisha.Hiyo ni kwa sababu kuanza ni rahisi kuliko kumaliza. Japokuwa pia kuanza huwa kunaweza kuwa kugumu kwa baadhi ya watu, wale ambao tayari wana msukumo wa kufanya, huwa wanaanza bila shida. Tatizo huwa linakuja (more…)

3282; Unapojikwamisha mwenyewe.

By | December 26, 2023

3282; Unapojikwamisha mwenyewe. Rafiki yangu mpendwa,Kuna maeneo mengi huwa tunakwama kwenye maisha kwa sababu ya watu ambao tunajihusisha nao. Huwa ni rahisi kuona kwamba watu hao ndiyo wanaotukwamisha.Lakini ukweli ni kwamba sisi wenyewe ndiyo tunaojikwamisha. Watu wapo kama walivyo na wataendelea kuwa walivyo bila ya kujali wewe unataka nini.Kama kwa (more…)

3281; Tatizo ni kujidanganya.

By | December 25, 2023

3281; Tatizo ni kujidanganya. Rafiki yangu mpendwa,Kitu kimoja kinachowakwamisha watu wengi sana wasipate kile wanachotaka ni kujidanganya wao wenyewe. Wanakuwa wameanza kwa kuwadanganya wengine, mpaka wanafikia kujidanganya wao wenyewe. Uzuri ni kwamba, matokeo huwa hawadanganyi, yanaweka kila kitu dhahiri kabisa. Matokeo ambayo yanapatikana ndiyo ukweli wenyewe, bila ya kujali mtu (more…)

3280; Kwa msimamo bila kuacha.

By | December 24, 2023

3280; Kwa msimamo bila kuacha. Rafiki yangu mpendwa,Inapokuja kwenye mafanikio, watu wanaijua kanuni ya mtu kujua kile hasa unachotaka na unachopaswa kufanya ili kukipata. Na watu wanafanya hivyo kweli.Wanakuwa wanaju mafanikio wanayotaka kuyapata.Na pia wanajua wanachopaswa kufanya ili kuyapata.Na hata kufanya wanafanya.Lakini hawayapati mafanikio waliyotegemea kuyapata. Kinachokuwa kimewakwamisha ni kutozingatia (more…)

3279; Uhakika wa ushindi.

By | December 23, 2023

3279; Uhakika wa ushindi. Rafiki yangu mpendwa,Watu wamekuwa wanahangaika sana kupata ushindi, lakini wamekuwa hawaupati. Hiyo ni kwa sababu wengi wamekuwa hawauelewi ushindi.Wanahangaika na mengi na kutaka kupata matokeo makubwa na ya haraka.Wakichelewa kupata matokeo wanayotaka, wanaacha na kwenda kwenye kitu kingine. Uhakika wa ushindi siyo kupata kile unachotaka, bali (more…)

3278; Mafanikio na kupendwa.

By | December 22, 2023

3278; Mafanikio na kupendwa. Rafiki yangu mpendwa,Mtu tajiri kuliko wote duniani kwa zama tunazoishi sasa, Elon Musk, ndiye mtu asiyependwa zaidi.Hilo ni jambo la kushangaza, hasa ukizingatia mambo makubwa na yenye manufaa anayokazana kufanya. Anatengeneza magari ya kutumia umeme na hivyo kutatua changamoto ya nishati na kutunza mazingira. Anarahisisha safari (more…)

3277; Hakuna tatizo.

By | December 21, 2023

3277; Hakuna tatizo. Rafiki yangu mpendwa,Matatizo, changamoto na vikwazo huwa ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku.Pamoja na vitu hivyo kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, watu wamekuwa wanashindwa kuvifanyia kazi na matokeo yake ni kukua zaidi.Hilo ndiyo limekuwa linasababisha maisha kuwa magumu zaidi. Njia rahisi ya kutatua (more…)

3276; Siyo kufanya, bali kuacha.

By | December 20, 2023

3276; Siyo kufanya, bali kuacha. Tim Grover alikuwa Kocha wa aliyewahi kuwa mchezaji bora wa mpira wa kikapu, Kobe Brayant.Alikuwa pia Kocha wa wachezaji wengine bora kama Michal Jordan na wengineo.Kazi yake kubwa imekuwa ni kuwajengea wachezaji mtazamo sahihi wa ushindi. Hapa kuna swala la wachezaji bora sana, ambao walikuwa (more…)