Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA LEO; BILA MISINGI YA USAWA, KILA KITU KINAANGUKA…

By | November 18, 2017

A kingdom founded on injustice never lasts. – Lucius Annaeus Seneca Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA (more…)