Category Archives: #TAFAKARI YA LEO

#TAFAKARI YA LEO; KAMA HUKOSEI…

By | October 1, 2020

“There are people who make no mistakes because they never wish to do anything worth doing.” – Johann Wolfgang von Goethe Kuna watu ambao wamekuwa wanafikiri kwamba kama hawakosei basi ni wakamilifu, kama hakuna wanaowapinga na kuwakosea basi wanafanya kilicho sahihi. Lakini huko ni kujidanganya. Ukweli ni huu; Kama hukosei (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAZI NA KELELE…

By | September 25, 2020

“Hurried work done in irritation attracts the unfavorable attention of others. Real work is always quiet, constant, and inconspicuous.” – Leo Tolstoy Kazi isiyo sahihi, inayofanywa kwa haraka na kelele nyingi, huwa inawavutia wengi na kuonekana ni maarufu. Lakini huwa siyo kazi sahihi na matokeo yake huleta uharibifu kwa wengi. (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HUWEZI KUJUA KILA KITU…

By | September 24, 2020

“No matter bow big mankind’s store of knowledge seems to me in comparison with our previous ignorance, it is only an infinitely small part of all possible knowledge.” – Leo Tolstoy Haijalishi maarifa tuliyonayo sasa ni mengi kiasi gani, Bado ni sehemu ndogo mno ya maarifa yanayoweza kupatikana. Kadiri tunavyokwenda, (more…)