#TAFAKARI YA LEO; KUNDI HALIJAWAHI KULETA MABADILIKO…

By | November 22, 2020

“At all times it has not been the age, but individuals alone, who have worked for knowledge. It was the age which put Socrates to death by poison, the age which burnt Huss. The ages have always remained alike.” – Johann Wolfgang von Goethe Mabadiliko yote ambayo yamewahi kutokea hapa (more…)

2152; Unalipa Sasa Au Utalipa Baadaye?

By | November 21, 2020

Kwenye maeneo mbalimbali yanayotoa huduma hasa za starehe, huwa yana taratibu zinazotofautiana za malipo. Kuna eneo ukienda unalipa kwanza ndiyo upewe huduma, wakati eneo jingine unapata huduma kwanza halafu unalipa mwisho. Kwa vyovyote vile huduma utapata, lakini lazima utalipia. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye maisha yetu, kuna gharama za kulipa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KILA KITAKACHOTOKEA KITAKUWA CHENYE MANUFAA KWAKO…

By | November 21, 2020

“Do not be concerned too much with what will happen. Everything which happens will be good and useful for you.” — Epictetus Mara nyingi umekuwa unahofia kuhusu mambo yanayoweza kutokea siku zijazo. Hofu hizo zimekuwa zinakuzuia usichukue hatua ulizopanga kuchukua. Na hilo linakuwa kikwazo kwa mafanikio yako. Kitu muhimu unachopaswa (more…)

2151; Kukubali Kutokukubaliana…

By | November 20, 2020

Mara nyingi watu wamekuwa wanashangaa nawezaje kukubaliana na kila mtu, hata kama anaamini na kusimamia kile ambacho ni tofauti kabisa na mimi. Nina mifano mingi ya namna ambavyo watu wamekuwa wanashangazwa na hilo na hata wengine kukasirishwa. Mfano tunaweza kuwa tunajadiliana jambo, ambapo niko upande fulani, halafu baada ya muda (more…)

#TAFAKARI YA LEO; ISHI MAISHA YA KISHUJAA…

By | November 20, 2020

“There is no deed in this life so impossible that you cannot do it. Your whole life should be lived as an heroic deed.” – Leo Tolstoy Maisha siyo rahisi, kwa sababu huwa hayaendi kama tunavyopanga na kutaka. Kila wakati unakutana na vikwazo na changamoto mbalimbali. Ili uweze kufanikiwa, lazima (more…)

2150; Nguvu Unazozitawanya Hovyo…

By | November 19, 2020

Nguvu, muda na pesa ni rasilimali muhimu sana kwenye safari ya mafanikio. Muda tumekuwa tunauzungumzia sana, jinsi ambavyo unapaswa kutumia fedha kuokoa muda badala ya kutumia muda kuokoa fedha. Tumejifunza sana kuhusu ukomo wa muda, kwamba ukishapotea haurudi tena, hivyo tunapaswa kuwa na ubahili nao kuliko tunavyokuwa na ubahili na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MANENO YANA NGUVU KUBWA…

By | November 19, 2020

“Words have more power than any one can guess; it is by words that the world’s great fight, now in these civilized times, is carried on.” – Mary Shelley Maneno yana nguvu kubwa kuliko mtu yeyote anavyoweza kudhani. Maneno yana nguvu ya kuumba chochote. Maneno yameanzisha vita vilivyoua wengi, yamejenga (more…)

2149; Rahisi, Haraka, Bora Chagua Mbili…

By | November 18, 2020

Upo usemi maarufu kwenye biashara kwamba unaweza kuwa rahisi au haraka au bora, lakini unaweza kufanya viwili tu kwa wakati mmoja na siyo vyote vitatu. Hivyo unapaswa kuchagua viwili ambavyo utapambana navyo kwenye biashara yako. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye mafanikio kwenye kila eneo la maisha, kupitia chochote unachokifanya. Unaweza (more…)

2148; Haikuwa Rahisi Kwao, Haitakuwa Rahisi Kwako…

By | November 17, 2020

Watu wote ambao walileta mapinduzi na mabadiliko makubwa kwenye kila eneo la maisha, ambayo tunayafurahia sasa, hawakukubalika kirahisi. Walipingwa, wakateswa na wengine kuuawa kwa sababu tu walifikiri tofauti na kundi kubwa lilivyokuwa linafikiri. Kwa upande wa falsafa, Socrates alikuja na njia mpya ya kuwajengea watu uwezo wa kufikiri, kuhoji na (more…)