#TAFAKARI YA LEO; NJIA RAHISI YA KUIBADILI DUNIA…

By | November 7, 2020

“Everyone thinks of changing the world, but no one thinks of changing himself.” — Leo Tolstoy Kila mtu anafikiria kuibadili dunia na kuifanya kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi. Kitu ambacho kipo nje ya uwezo wa kila mtu, maana dunia haiendi kulingana na matakwa ya yeyote, bali inajiendesha kwa misingi (more…)

2137; Kipi Wanajua Ambacho Hujui…

By | November 6, 2020

Unapoona watu wanafanya mambo ambayo kwako yanaonekana ni ya kijinga, lakini yanawanufaisha, unapaswa ujifunze kutoka kwa watu hao. Kiburi na ujuaji imekuwa kikwazo kwa wengi kujifunza. Kuchagua upande fulani na kung’ang’ana nao kumewazuia wengi kutokuona ukweli na kuutumia vizuri. Kulinda kile walichofanya jana na kuwa na msimamo wa kijinga kumewazuia (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAFANIKIO NI KUWA WEWE…

By | November 6, 2020

“There is only one you for all time. Fearlessly be yourself.” – Anthony Rapp “There’s only one success… to be able to live your life your own way.” – Christopher Morley Miti mingi mno imekatwa ili kuzalisha karatasi za kuchapa vitabu vya siri za watu waliofanikiwa. Kuna vitabu zaidi ya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUKIMBILIA KUONGEA, UNAISHIA KUONGEA UJINGA…

By | November 5, 2020

“The more urgently you want to speak, the more likely it is that you will say something foolish.” – Leo Tolstoy Kadiri unavyokimbilia kuongea, ndivyo kile unachoongea kinavyozidi kuwa cha kijinga. Unapokimbilia kuongea hupati muda wa kutosha kutafakari kitu kabla ya kukisema. Wengi huishia kujidhalilisha kwa yale wanayokimbilia kuongea. Wanasema (more…)

2135; Masaa Ya Kazi Na Kazi Uliyofanya…

By | November 4, 2020

Wakati wa zama za viwanda, kazi zilipimwa kwa masaa. Kwa sababu sehemu kubwa ya kazi zilikuwa za mikono na mtu alikuwa na jukumu moja na linalopimika, kadiri mtu alivyoweka masaa zaidi kwenye kazi, ndivyo alivyozalisha zaidi. Tumeshaondoka kwenye zama za viwanda na sasa tuko kwenye zama za taarifa, kazi nyingi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUBISHANA NI UJINGA…

By | November 4, 2020

“You should abstain from arguments. They are very illogical ways to convince people. Opinions are like nails: the stronger you hit them, the deeper inside they go.” — Decimus Junius Juvenalis Kama unafikiri unaweza kumbadilisha mtu kupitia kubishana, unajidanganya. Unapobishana na mtu, anazidi kuamini kile anachosimamia. Kadiri unavyomuonesha kwa nini (more…)

2134; Ushindi Hewa…

By | November 3, 2020

Epuka sana mabishano yoyote yanayohusisha hisia, maana hata kama utashinda kwa hoja, bado hisia za uliyemshinda hazitakuwa zimebadilika, badala yake atakuwa ameimarika zaidi kwenye upande anaosimamia. Iwe ni kwenye mambo ya imani, mapenzi, michezo, siasa na mengine yoyote yale ambayo watu wameweka imani zao, mabishano au mashindano yoyote yale ni (more…)

2133; Mafanikio Ya Asilimia 100…

By | November 2, 2020

Hayapo, Huwa siyo mpenzi wa kuangalia tv, lakini ninapojikuta kwenye hali ambayo naangalia tv, basi huwa napendelea kuangalia stesheni inayorusha vipindi vya wanyama. Napenda vipindi hivyo kwa sababu vinaonesha jinsi asili inavyofanya kazi, jinsi viumbe mbalimbali wanavyopangana kuendesha maisha yao katika mazingira ambayo ni magumu lakini wanafanikiwa. Siku moja nikiwa (more…)