#TAFAKARI YA LEO; JE HIKI NDIYO MUHIMU ZAIDI KUFANYA?

By | October 13, 2020

“Most of what we say and do is not essential,” If you can eliminate it, you’ll have more time, and more tranquility. Ask yourself at every moment, ‘Is this necessary?’” – Marcus Aurelius Mengi unayosema na kufanya siyo muhimu. Na hayo ndiyo yanayomaliza muda wako, kukuchosha na kukuvuruga. Kama utaweza (more…)

2112; Kwa Nini Usianze Kuishi Hivyo Sasa…

By | October 12, 2020

Siku moja nikiwa kliniki, niliona kwenye orodha ya wagonjwa wanaosubiri kuingia kwangu kutibiwa kukiwa na mgonjwa mwenye miaka 93. Kwa haraka nilipata picha atakuwa ni mzee sana, ambaye atakuwa kwenye kiti cha kuendeshwa na atakuwa hawezi kutembea. Lakini nilipoita mgonjwa huyo, alikuja akiwa anatembea mwenyewe na alionekana kuwa na nguvu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUACHA MAZOEA INAHITAJI KAZI…

By | October 12, 2020

“Any departure from accepted traditions and customs requires a large and serious effort, but true understanding of new things always requires such an effort.” – Leo Tolstoy Kuachana na mazoea inakutaka mtu uweke jitihada na umakini mkubwa. Kuacha kile ulichozoea kufanya na ambacho wengine wanafanya siyo rahisi. Ndiyo maana wengi (more…)

2111; Sababu Pekee Ya Kufanya Kilicho Sahihi…

By | October 11, 2020

Watu wengi hufanya kilicho sahihi kwa sababu wana ajenda fulani, kuna kitu wanategemea kukipata kwa kufanya kilicho sahihi. Hivyo wengi hufanya kilicho sahihi kama maigizo, haitoki kweli ndani yao, bali wanafanya kwa mategemeo fulani. Lakini Mstoa Marcus Aurelius alituasa vyema, sababu pekee ya kufanya kilicho sahihi ni kwa kuwa ndiyo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UNAJIVUNIA VITU GANI?

By | October 11, 2020

“Most people are proud, not of those things which arouse respect, but of those which are unnecessary, or even harmful: fame, power, and wealth.” – Leo Tolstoy Watu wengi wamekuwa wanajivunia siyo kwa vitu ambavyo vinaleta heshima kwao, bali kwa vitu visivyo muhimu na wakati mwingine vyenye madhara. Vitu vitatu (more…)

2110; Msimamo Na Ung’ang’anizi Kwenye Kuchukua Hatua…

By | October 10, 2020

Kuwa na nidhamu kubwa ya msimamo na ung’ang’anizi kwenye kuchukua hatua ndiyo kinachowatofautisha wale wanaofanikiwa sana na wanaobaki kuwa kawaida. Chukua mfano wa watu wawili, mmoja ana wazo la kawaida tu, labda ufugaji au biashara au kilimo, anaamua kuchukua wazo hilo kwa miaka kumi bila kuacha. Mwingine kwa miaka hiyo (more…)

2109; Kama Fedha Inaweza Kutatua, Huna Tatizo…

By | October 9, 2020

Sehemu kubwa ya matatizo yanayowasumbua wengi kwenye maisha siyo matatizo halisi, bali tatizo la msingi linakuwa ni fedha. Kama una tatizo lolote linalokusumbua na unaweza kulitatua kwa fedha, basi jua huna tatizo, bali unachokosa ni fedha. Kwa kujua hili, inakupunguzia mzigo wa mawazo na msongo ambao umekuwa unajipa kwa matatizo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIJIFANYE KUELEWA USICHOELEWA…

By | October 9, 2020

“Do not pretend to understand something that you do not. It is one of the worst possible things to do.” – Leo Tolstoy Kosa kubwa kabisa unaloweza kufanya kwenye maisha yako ni kijifanya unaelewa kile ambacho hukielewi. Hilo ni kosa kwa sababu hutajifunza na hutaelewa. Kama kuna kitu ambacho hujui, (more…)

2108; Jiandae Kwa Mchakato…

By | October 8, 2020

Kinachowaangusha wengi kwenye hadithi za mafanikio ni hiki; kuangalia pale waliofanikiwa wapo sasa na kutaka kufika hapo,  bila kupitia mchakato wa kufika pale. Yeyote unayemuona amefanikiwa leo, hakuamka na kujikuta kwenye mafanikio hayo, na wala hakupita njia ya mkato isiyohitaji kazi. Alipitia kwenye mchakato mrefu ambao huwa haupewi uzito sana (more…)