2102; Kwa Wengine Ni Mambo Ya Kawaida…

By | October 2, 2020

Ni rahisi kutoa ushauri kwa wengine, lakini ni vigumu wewe mwenyewe kuuishi ushauri unaowapa wengine. Hata pale mambo yanapowatokea watu wengine, ni rahisi kwetu kuwashauri na kuwapa moyo, lakini mambo hayo hayo yanapotutokea sisi wenyewe hatuwezi kutumia ushauri ambao tumekuwa tunawapa wengine. Kinacholeta hali hizi za tofauti ni hisia ambazo (more…)

2101; Siyo Asilimia 10, Bali Mara 10…

By | October 1, 2020

Watu wengi wamekuwa wanajiambia wanaanzisha biashara mpya kwa sababu wameona fursa fulani mahali. Lakini ukweli siyo wanaanzisha biashara mpya, bali wanakwenda kuiga biashara nyingine inayofanyika eneo hilo au kuhamisha biashara kutoka eneo jingine kwenda hapo. Hivyo biashara wanayokwenda kuanzisha siyo ya tofauti wala ya kipekee sana. Na hapo wanakuwa wamejipeleka (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAMA HUKOSEI…

By | October 1, 2020

“There are people who make no mistakes because they never wish to do anything worth doing.” – Johann Wolfgang von Goethe Kuna watu ambao wamekuwa wanafikiri kwamba kama hawakosei basi ni wakamilifu, kama hakuna wanaowapinga na kuwakosea basi wanafanya kilicho sahihi. Lakini huko ni kujidanganya. Ukweli ni huu; Kama hukosei (more…)

2099; Lakini Mbona Hawakamatwi?

By | September 29, 2020

Kuna wakati unaweza kuona watu wanahangaika na kitu kisichokuwa sahihi, na unajua kabisa siyo sahihi lakini unaona kikiendelea tu, hakikatazwi na wala wanaofanya hawakamatwi. Kwa vile kitu hicho kinaendelea, watu wananufaika kweli kweli, na wanakuonesha wazi kwamba kitu hicho kinawanufaisha. Mwanzo ulikuwa na msimamo kwamba hutajihusisha na kitu hicho, kwa (more…)

2098; Tabia Ni Kama Akiba…

By | September 28, 2020

Akiba ni kitu unachoweka wakati mambo yako yanakwenda vizuri, ili kikusaidie pale mambo yatakavyokwenda vibaya. Unapozingatia hilo, unaepuka usumbufu na gharama zisizo na ulazima. Mfano unapojikuta kwenye changamoto za kifedha, ukiwa na akiba unazitatua, ukiwa huna, unaingia kwenye mkopo ambao utakuumiza zaidi. Unanunua mwavuli wakati wa kiangazi, ili wakati wa (more…)