Tag Archives: KUAJIRI

Mteja wa kwanza na wa muhimu sana kwenye biashara yako.

By | April 6, 2015

Katika moja ya makala zilizopita hapa kwenye KONA YA MJASIRIAMALI tuliwahi kujadili lengo kuu la biashara ni nini. Kama hukumbuki au hukupata nafasi ya kusoma makala ile tuliona kwamba lengo kuu la biashara sio kupata faida kama watu wengi wanavyofikiria. Bali lengo kuu la biashara ni kutengeneza wateja. Kama biashara (more…)