Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Tulichozaliwa Nacho Na Tulichojifunza….

By | April 26, 2015

Love is what we were born with. Fear is what we learned here. -Marianne Williamson Upendo ndio kitu ambacho tulizaliwa nacho. Hofu ni kitu ambacho tumejifunza hapa duniani. Upendo utakuletea furaha kwenye maisha, upendo utakuwezesha kufanya kile unachopenda na kufanikiwa na upendo utakuwezesha kuishi na wengine vizuri. SOMA; Hivi Ndivyo (more…)

NENO LA LEO; Hakuna Uhaba Wa Fursa, Kuna Uhaba Wa Kitu Hiki…

By | April 24, 2015

There is no scarcity of opportunity to make a living at what you love; there’s only scarcity of resolve to make it happen. -Wayne Dyer Hakuna uhaba wa fursa za kutengeneza kipato kwenye kile unachopenda; kuna uhaba wa wewe kuamua kufanya hivyo. SOMA; Njia Ya Uhakika Ya Kufikia Mafanikio Makubwa. (more…)

NENO LA LEO; Najua Umeshasikia Hili Mara Nyingi, Sio Vibaya Ukasikia Tena Na Leo.

By | April 22, 2015

I know you’ve heard it a thousand times before. But it’s true – hard work pays off. If you want to be good, you have to practice, practice, practice. If you don’t love something, then don’t do it. -Ray Bradbury Najua umeshasikia hili mara elfu moja kabla. Lakini ni kweli- (more…)

NENO LA LEO; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuishi Maisha Yako Kwa Ukamilifu.

By | April 21, 2015

Work like you don’t need the money. Love like you’ve never been hurt. Dance like nobody’s watching. -Satchel Paige Fanya kazi kama vile huhitaji fedha. Penda kama vile hujawahi kuumizwa. Cheza kama vile hakuna anayekuangalia. Ukiweza kufanya mambo hayo matatu, utaishi maisha yako na mafanikio yatakuwa yako. SOMA; Hii Ndio (more…)

NENO LA LEO; Kama Hutaki Kuwa Na Maadui Fanya Kitu Hiki Kimoja.

By | April 20, 2015

He who falls in love with himself will have no rivals. -Benjamin Franklin Yule anayejipenda mwenyewe hawezi kuwa na maadui/wapinzani. SOMA; Siri Za Kuwa Mjasiriamali Bora Na Kufikia Mafanikio Makubwa. Njia moja ya uhakika ya kuepuka kuwa na maadui ni kujipenda wewe mwenyewe. Unapojipenda wewe mwenyewe utawapenda na wengine pia. (more…)

NENO LA LEO; Njia Ya Uhakika Ya Kufikia Mafanikio Makubwa.

By | April 18, 2015

If you want to be successful, it’s just this simple. Know what you are doing. Love what you are doing. And believe in what you are doing. -Will Rogers Kama unataka kufikia mafanikio, ni rahisi kama hivi. Jua ni nini unafanya. Penda kile unachofanya. Na pia amini kile unachofanya. SOMA; (more…)