Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Usilenge Mafanikio. Lenga Kitu Hiki Na Mafanikio Yatakuja Yenyewe.

By | April 16, 2015

Don’t aim for success if you want it; just do what you love and believe in, and it will come naturally. -David Frost Usilenge mafanikio kama unayataka, wewe fanya kile ambacho unapenda kufanya na amini kwenye kitu hiko na mafanikio yatakuja yenyewe. Siku zote mafanikio yanakuja kw akufanya kitu ambacho (more…)

NENO LA LEO; Jambo Muhimu La Kufanya Kila Siku Unapoamka Asubuhi.

By | April 15, 2015

When you arise in the morning, think of what a precious privilege it is to be alive – to breathe, to think, to enjoy, to love. -Marcus Aurelius Unapoamka asubuhi, fikiria ni jinsi gani ulivyo na bahati ya kipekee kuwa hai – kupumua, kufikiri, kufurahia, kupenda. SOMA; TABIA ZA MAFANIKIO; (more…)

NENO LA LEO; Hii Ndio Tiba Ya Muujiza Mkubwa.

By | April 14, 2015

Love is the great miracle cure. Loving ourselves works miracles in our lives. -Louise L. Hay Upendo ndio tiba ya muujiza mkubwa. Kujipenda sisi wenyewe kunaleta miujiza mikubwa kwenye maisha yetu. SOMA; Sababu Zinazokufanya Wewe Kushindwa Kuthubutu Wazo Lako Kama una changamoto zozote kwenye maisha yako, kama una matatizo yoyote (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Kipimo Cha Upendo.

By | April 13, 2015

The degree of loving is measured by the degree of giving. -Edwin Louis Cole Kiwango cha upendo kinapimwa kwa kiwango cha kutoa. Tunapima kiwango cha mtu cha upendo kwa kiwango ambacho yupo tayari kutoa. Upendo sio maneno, bali ni matendo. SOMA; Katika Kula Ujana Usifanye Mambo Haya Matano, Utajutia Maisha (more…)

NENO LA LEO; Usiweke Maanani Unachoambiwa Na Mtu Aliye Kwenye Hali Hizi Tatu.

By | April 12, 2015

It’s useless to hold a person to anything he says while he’s in love, drunk, or running for office. -Shirley MacLaine Haina maana kumwajibisha mtu kwa chochote anachosema wakati yuko kwenye mapenzi, amelewa au anagombea. Katika hali hizi tatu, mtu anaweza kusema jambo lolote hata kama hana uywezo wa kulitekeleza (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Unachotakiwa Kufanya.

By | April 11, 2015

Only do what your heart tells you. -Princess Diana Fanya kile ambacho moyo wako unakuambia ufanye. Maisha ni yako na kama unataka kuyafurahia ni lazima ufuate kile moyo wako inachokuambia. Kuna vitu ambavyo unapendelea kufanya hivi ndivyo vitakavyokuletea mafanikio. Kuna vitu ambavyo unajua ni muhimu kwako, vifanye hivi bila ya (more…)

NENO LA LEO; Kinachofanya Maisha Yawezekane Na kinachoyafanya Yawe Rahisi.

By | April 10, 2015

Faith makes all things possible… love makes all things easy. -Dwight L. Moody Imani inafanya kila kitu kiwezekane…. mapenzi(upendo) unafanya kila kitu kiwe rahisi. Kama huna imani utaona kila kitu hakiwezekani hasa kwenye dunia hii ambayo imejaa kila aina ya changamoto, ni imani pekee itakayokuwezesha wewe kuendelea na mapambano licha (more…)

NENO LA LEO; Siri Itakayokuwezesha Kufanya Chochote.

By | April 9, 2015

Love yourself first and everything else falls into line. You really have to love yourself to get anything done in this world. -Lucille Ball Jipende wewe kwanza na vitu vingine vyote vitakwenda sawa. Unahitaji kujipenda mwenyewe ili uweze kukamilisha chochote hapa duniani. Kama hujipendi wewe mwenyewe basi hakuna jambo kubwa (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Kitu Muhimu Sana Kwenye Maisha Yako. Na Sio Chakula Au Hewa.

By | April 8, 2015

A flower cannot blossom without sunshine, and man cannot live without love – Max Muller Ua haliwezi kuchanua pasipokuwepo na mwanga wa jua na mtu hawezi kuishi pasipokuwepo na upendo. Upendo ni kiungo muhimu snaa cha maisha yetu. Bila ya upendo maisha yanakuw amagumu san akuishi na hata kufurahia. Unaweza (more…)

NENO LA LEO; Unachopata Kwenye Kupendwa Na Unachopata Kwenye Kupenda.

By | April 7, 2015

Being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage. -Lao Tzu Kupendwa sana na mtu mwingine kunakupa wewe nguvu, kumpenda sana mtu mwingine kunakupa wewe ujasiri. Haitoshi tu wewe kusema kwamba unapendwa, unahitaji kupenda pia. Wapende wale wanaokupenda na hata wasiokupandea pia. Hakuna chochote (more…)