Tag Archives: WATU MASHUHURI

Kauli KUMI Za Confucius Zitakazokuhamashisha Kuboresha Maisha Yako.

By | February 5, 2015

Confucius alikuwa mwalimu, mwandishi, mwanafalsafa na mwanasiasa wa China. Alikuwa akiandika falsafa zinazohusu maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Leo utajifunza kauli kumi kutoka kwake zitakazokuhamasisha kuchukua hatua na kuboresha maisha yako. 1. Choose a job you love and you will never have to work a day in (more…)

Kauli KUMI Za Marcus Aurelius Zitakazokufanya Uyaone Maisha Kwa Utofauti.

By | February 3, 2015

Marcus Aurelius (26 April 121 – 17 March 180 AD)  alikuwa mfalme wa Roma kuanzia mwaka 161 mpaka mwaka 180. Alikuwa mmoja wa wafalme watano wa mwisho wa Roma ambao walikuwa na mafanikio makubwa sana. Alipitia vipindi vigumu kwenye utawala wake lakini aliweza kufanya mambo makubwa. Pia Marcus ni mmoja (more…)

Kauli KUMI Za Kukuhamasisha Kutoka Kwa Robert Mugabe.

By | January 30, 2015

Robert Mugabe (kuzaliwa 21 February 1924) ni mwanamapinduzi na raisi wa Zimbabwe. Robert Mugabe aliweza kupambana na kuondoa walowezi ambao walikuwa wanashikilia sehemu kubwa ya ardhi ya zimbabwe. Ni kiongozi shujaa sana ambaye ameweza kushindana na vikwazo vya mataifa makubwa. Leo tutapata kauli kumi kutoka kwake ambazo zitatuhamasisha na kutufanya (more…)

Kauli Kumi Za Kukuhamasisha Kutoka Kwa Abraham Lincoln

By | January 28, 2015

Abraham Lincoln (February 12, 1809 – April 15, 1865) alikuwa raisi wa 15 wa marekani. alianza kipindi chake cha uraisi March 1861 mpaka alipouawa April 1865. Lincoln aliongoza marekani katika kipindi cha vita ambayo ilikuwa changamoto kubwa kwake. Katika vita hii aliweza kuimarisha muungano wa majimbo ya marekani, kutokomeza utumwa (more…)

Kauli Kumi Za Kukuhamasisha Kutoka Kwa Mahatma Gandhi.

By | January 26, 2015

Mahatma Gandhi alikuwa mpigania uhuru wa nchi ya India. Aliweza kuongoza harakati za kuipatia India uhuru kutoka kwa waingereza na alikuwa akitumia njia za amani katika harakati zake. Mahatma Gandhi amekuwa akiwahamasisha wengi sana kwa maisha aliyoishi na harakati alizofanya na jinsi alivyoleta mabadiliko makubw akwenye nchi yake na dunia (more…)

Kauli KUMI Za Kukuhamasisha Kutoka Kwa Nelson Mandela.

By | January 22, 2015

Nelson Mandela alikuwa mpingaji wa sera za kibaguzi nchini Afrika ya kusini. Pia alikuwa raisi wa Afrika kusini kati ya mwaka 1994 mpaka mwaka 1999. Alifungwa jela miaka 27 kutokana na harakati zake ila hakukata tamaa, alipotoka jela aliendelea na harakati na hatimaye kuweza kuwa raisi wa taifa ambalo halina (more…)

Kauli KUMI Za Kukuhamasisha Kutoka Kwa Martin Luther King

By | January 20, 2015

Martin Luther King Jr alikuwa mpigania haki za watu weusi nchini marekani. Huyu ni mmoja wa watu ambao walikufa wakipigania usawa baina ya binadamu wote. Kazi yake kubwa liyoifanya imeacha alama kubwa na leo tunaishi kwenye dunia ambayo ubaguzi wa rangi sio tatizo kubwa tena. Hapa nimekukusanyia kauli Kumi za (more…)