UKURASA WA 14; Kataa Kupokea Chochote Kizuri, Na Kubali Hiki…

By | January 14, 2015
Unapoamua kuboresha maisha yako, hakikisha kila kitu kinakuwa bora. Jambo moja la kushangaza kuhusu maisha ni kwamba unapokataa kupokea ambacho sio bora, lazima unapata kilicho bora. Unapokataa kupokea kile unachokiona kizuri sasa, utapigana kupata kile kilichobora zaidi. Kataa kufanya kazi ambayo sio bora na hatimaye utaongeza juhudi ili kuifanya iwe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In