SIRI YA 4 YA MAFANIKIO; Itumie Sheria Ya Wastani Kukuletea Mafanikio.

By | February 2, 2015
Jinsi unavyoshindwa mara nyingi ndivyo unavyojitengenezea nafasi kubwa ya kufanikiwa. Kwa kifupi unaweza kutumia kushindwa kwako, kufikia mafanikio. Kila mara unaposhindwa unapata uzoefu, na unajifunza njia gani haileti matokeo mazuri. Pia unaepuka kurudia makosa ambayo yamekufanya ushindwe. “I am not discouraged, because ever wrong attempt discarded is another step forward.”

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In