Huoni Fursa Za Mafanikio Kwa Sababu Hii Kubwa.

By | August 19, 2015
Tunaona kile ambacho tunataka kuona, kile ambacho kimejaa kwenye akili zetu na mawazo yetu. Kama akili yako na mawazo yako yamejaa habari za kushindwa basi kila utakachokiangalia utaona kushindwa. Ukiwa na mawazo ya mafanikio kila utakachoangalia utaona mafanikio. Tatizo sio kile unachoangalia, bali tafsiri ambayo tayari unayo kwenye mawazo yako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In