Usidharau Ushindi Mdogo Mdogo Unaoupata Kila Siku, Ni Muhimu Kwa Mafanikio Yako, SEHEMU YA PILI.

By | September 2, 2015
Habari za leo rafiki? Upo vizuri? Hongera sana, leo ni siku mpya ya mwezi mpya. Mwaka ndio unakatika hivyo, vipi malengo na mipango yako kwa mwaka huu? Vinaenda sawa na kazi ya siku zinavyokwenda? Hebu tumia muda mchache leo kutafakari hilo. Wiki iliyopita nilikuahidi kuandika makala niliyokusudia kuandika wiki ile

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In