UKURASA WA 248; Sisi Tunajua….

By | September 5, 2015
Moja ya vitu vinavyowarudisha watu wengi nyuma ni kauli za watu ambao wanasemana kujidai wanajua sana. Umeamua kufanya kitu cha tofauti na wao wanakuambia tunajua huwezi kufikia kitu hiko, tumeshaona wenzako kama wewe wakijaribu na kushindwa vibaya. Kwa kukosa uzoefu na kujiamini watu wengi wamekuwa wanachukua kauli hizi kama sheria

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In