UKURASA WA 250; Siyo Wewe…

By | September 7, 2015
Sababu kubwa sana inayowafanya watu wengi kukata tamaa ni pale wanapofikiri kwamba ni wao. Pale ambapo wanaambiwa hapana, moja kwa moja wanachukulia kwamba hapana ilikuwa ni kwao. Unaanzisha biashara na kuna mtu ambaye ulijua kabisa angekuwa mteja wa biashara yako, lakini unapomwambia anakuambia hapana. Na wewe unachukulia kwamba hapana ile

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In