UKURASA WA 254; Kama Kila Mtu Anafanya Kitu Unachofanya Au Unachotaka Kufanya…

By | September 11, 2015
Sisi binadamu ni viumbe wa kijamii. Kwa miaka mingi tumekuwa salama kwa kuwa ndani ya jamii, kwakufanya kile ambacho kila mtu anafanya. Lakini miaka ya sasa hakuna hatari kubwa hata kama hutaenda na kundi, lakini bado watu wengi wanajisikia salama zaidi wanapofanya kitu ambacho kila mtu anafanya. KAMA KILA MTU

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In