MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 283; Dawa Ya Hofu, Wivu, Chuki Na Hisia Zote Hasi…
Kuna hisia nyingi sana hasi ambazo zinatuzunguka kila siku. Na hisia hizi ndio zimekuwa zinafanya maisha ya wengi kuwa magumu na ya hovyo. Alama kubwa ya hisia hasi ni hofu kwenye maisha. Hofu imezuia watu wengi kuishi maisha yenye furaha. Hofu imesababisha baadhi ya watu kuishia kupata magonjwa ya akili.