UKURASA WA 290; Uwe Unapenda Kweli, Iwe Inatoka Moyoni.

By | October 17, 2015
Kama unavyojua mpaka sasa, mafanikio hayatakuja kwa wewe kufanya vitu vya kawaida na kwa njia za kawaida. Mafanikio yatakuja kwa wewe kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. Kwa kifupi ni kufanya kazi sana, sio kidogo. Na lazima uwe tayari kwenda hatua ya ziada, kwenda zaidi ya wengine walivyozoea kwenda, kutoa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In