Hizi Ni Sababu Kwa Nini Baadhi Ya Watu Wanaopata Fedha Nyingi Huishia Kufa Masikini, Na Hatua Za Wewe Kuchukua.

By | November 4, 2015
Linapokuja swala la fedha, kuna misingi mitatu muhimu sana kuhusu fedha ambayo kila mtu anatakiwa kuijua. Msingi wa kwanza ni jinsi ya kutengeneza fedha au kutafuta fedha. Msingi huu wengi kidogo wanaujua. Kila mtu anajua ni kitu gani afanye ili aweze kupata fedha. Japo katika njia hizi kuna ambazo ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In