UKURASA WA 317; Mizigo Ya Wewe Kutua Leo…

By | November 13, 2015
Pamoja na ugumu wa maisha ambao wengi wanakuwa wanausema, lakini sehemu kubwa ya ugumu huu inasababishwa na mtu mwenyewe. Kuna mizigo mingi ambayo umejibebesha na hii inafanya maisha yawe magumu zaidi na zaidi. Leo kwa ufupi sana hapa tutaangalia mizigo uliyojibebesha ili uweze kuitua mara moja; 1. Kinyongo kwa watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In