UKURASA WA 326; usichokijua ndio kinakumaliza…

By | November 22, 2015
Waswahili wanasema usichokijua ni sawa na usiku wa giza. Umewahi kutafakari na kujiuliza maana halisi ya kauli hiyo? Kama hujawahi basi tuanzie hapo. Na tuanze na usiku wa giza. Usiku wa giza ni nini? Giza ni nini hasa? Kama umekuwa unasoma hapa kila siku tayari jibu unalo. Kwamba giza sio

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In