UKURASA WA 331; Chelewa Kwa Makusudi….

By | November 27, 2015
Ni muhimu sana kujali muda na kuwahi kwenye kila kitu ambacho unahusika nacho wewe. Ila kuna maeneo ambayo unahitaji kuchelewa kwa makusudi. Kwa kuchelewa huku inakuwa ni faida kubwa kwako baadae. Jana katika makala hizi za kurasa tuliona jinsi ambavyo jamii inakuaminisha kwamba unapitwa na hivyo kukusukuma ununue kila kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In