UKURASA WA 367; Kitu Kimoja Unachoweza Kuiba Na Ukabaki Nacho Milele…

By | January 2, 2016
Ukiiba fedha huwezi kubaki nazo milele, ipo siku utakamatwa kwa wizi wako na hata usipokamatwa basi utazitumia na zitaisha. Ukiiba uongozi hutakaa nao milele, iko siku utaondoka kwenye uongozi huo na kama usipoondoka basi utaondolewa kwa nguvu. Ukiiba watu hutaweza kudumu nao milele, iko siku watu hao watakombolewa na hata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In