UKURASA WA 377; Kitu Kimoja Ambacho Huwezi Kukibadili, Hata Ufanye Nini.

By | January 12, 2016
Katika maisha yako, kuna maeneo ambayo una nguvu ya kufanya kitu au kuleta mabadiliko, na kuna maeneo ambayo huna nguvu kabisa. Kama jinsi ambavyo tunajua, maana tumekuwa tunajifunza sana hapa, hasa kupitia FALSAFA MPYA YA MAISHA, kila kinachotokea kwenye maisha yako kina kisababishi. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya, kila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In