UKURASA WA 387; Tusiishie Kusifia Tu, Tufanye Pia…

By | January 22, 2016
Ni vizuri kusifia hasa pale ambapo kuna mtu au watu wamefanya jambo ambalo ni jema na linafaa kuigwa. Ila kuishia kusifia tu hakutakuwa na msaada kwetu, msaada utakuja pale ambapo tutajiuliza wao wamefanyaje halafu na sisi tukaanza kufanya. Hadithi za watu wenye mafanikio makubwa duniani zinapatikana kila mahali, wengi tunazijua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In