UKURASA WA 417; Jinsi Ya Kujua Kitu Ambacho Sio Muhimu Kwako.

By | February 21, 2016
Kuna vitu vingi sana ambavyo huwa tunakuwa tunataka kufanya. Ila kwa sababu nguvu zetu na muda havitoshi, basi tumetengeneza njia nzuri sana ya kuweka pembeni vile ambavyo sio muhimu na kufanya vile ambavyo ni muhimu. Ila njia hii huwa hatuijui kwa sababu huwa inafanyika kwa mazoea. Na kwa njia hii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In