UKURASA WA 432; Sema NDIYO Kwa Dunia…

By | March 7, 2016
Tumekuwa tukikumbushana mara kwa mara umuhimu wa kusema HAPANA, hasa kwa mambo ambayo hayana manufaa kwako. Maana haya ndiyo mambo ambayo yanatupotezea muda wetu mwingi na hayana thamani yoyote. Lakini kuna sehemu moja muhimu ambayo unatakiwa kusema NDIYO kila mara. Na hapa ni pale unapokutana na dunia. Unapokutana na dunia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz