UKURASA WA 436; Wenye Chuki…

By | March 11, 2016
Moja ya madhara ya wewe kufanya maisha yako kuwa bora zaidi, ni kutengeneza watu wengi wenye chuki dhidi yako. Binadamu sisi ni viumbe wa kipekee sana, tunaridhika pale tunapoona wanaotuzunguka nao wapo kama sisi. Wana kipato sawa na chetu, wanafanya kile tunachofanya. Lakini mtu anapoamua kubadilika, na kuamua kufanya kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In