UKURASA WA 445; Mizizi Imara…

By | March 20, 2016
Chukua miti miwili, mti mmoja umeota sehemu ambayo kuna upepo mkali sana na hakuna maji ya uhakika. Na mti mwingine umeota sehemu ambayo ni tulivu, hakuna upepo na maji yapo ya kutosha. Unafikiri kati ya miti hii miwili ni upi utakuwa na mizizi imara? Mti ulio ota sehemu yenye upepo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In