UKURASA WA 446; Sehemu Isiyohitaji Usawa.

By | March 21, 2016
Kwenye maeneo mengi ya maisha yetu tunahitaji usawa, kwa sababu binadamu wote ni sawa, hivyo kila mtu anastahili kupata huduma sawa, hii ni kweli kabisa. Lakini kuna maeneo kwenye maisha yako ambayo huhitaji kabisa usawa na mtu mwingine yeyote. Yaani kwenye maeneo hayo ukikubali usawa tu umejipoteza mwenyewe. Kwa mfano

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In