UKURASA WA 479; Ikuingie, Ikumiliki….

By | April 23, 2016
Kufikia ndoto yoyote kubwa kwenye maisha siyo jambo dogo hata kidogo. Njia ni ndefu yenye mabonde na milima mingi. Kitu pekee kitakachokuwezesha kuifikia ndoto yoyote kubwa ni ndoto hiyo ikuingie na kukumiliki kabisa. Yaani chochote unachofikiria kwenye maisha yako kiwe kinaongozwa na ndoto hiyo. Fursa yoyote unayoipata kwenye maisha uitumie

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In