UKURASA WA 486; Watu Dhaifu…

By | May 1, 2016
Ni watu dhaifu ambao wana roho mbaya na wanaofanya ukatili, roho nzuri na upole vinatoka kwa watu ambao ni imara. Watu dhaifu wanaona njia pekee ya kujiweka salama ni kuwafanyia vibaya wengine. Watu imara wanajua ukatili na roho mbaya havina malipo yoyote chanya kwao. Ni watu dhaifu ambao hawawezi kusamehe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In