UKURASA WA 551; Kushindwa Ni Sehemu Ya Kukua…

By | July 4, 2016
Mtoto hawezi kujua kutembea sawasawa bila ya kuanguka. Anayejifunza kuendesha baiskeli hawezi kujua kuendesha kama hatoanguka mara kadhaa. Watu wote ambao tunawaona leo wameweza kufanya mambo makubwa, hawakuanza kuyafanya mambo hayo tangu awali, bali walishindwa sana na kujifunza kupitia kushindwa kwao. Hivyo basi kushindwa kwenye kile unachofanya siyo jambo baya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In