UKURASA WA 591; Kwa Macho Ya Juu Juu…

By | August 13, 2016
Kwa macho ya juu juu kila kitu unachoambiwa kinaonekana ni sahihi na kizuri. Bila ya kuwa makini na kuchimba kwa ndani, huwezi kupata ukweli wenyewe. Kwa kuchukulia mambo kwa juu juu unaona yanakufaa na bora kwako, lakini unapoingia ndipo unagundua ya kwamba kuna vitu hukujua kabla ya kuingia. Watu wengi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In