UKURASA WA 603; Hapo Ulipo Sasa…

By | August 25, 2016
Hakuna ubishi kwamba kila mmoja wetu anaweza kuwa bora zaidi ya alivyo sasa, anaweza kuongeza kipato chake zaidi ya alichonacho sasa, bila ya kutegemea kwa sasa yupo chini au juu kiasi gani. Kila mmoja wetu ana nafasi ya kuwa bora zaidi, kufanikiwa zaidi. Lakini hili nalo linakuja na changamoto yake.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In