UKURASA WA 606; Kila Maisha Yana Thamani…

By | August 28, 2016
Kuna watu wengi ambao huwa wanafikia hatua ya kuona maisha yao hayana thamani tena. Ni katika hatua kama hizi wanachukua maamuzi ambayo yanaharibu kabisa maisha yao. Wanakuwa hawajali tena, hivyo wanafanya mambo ya hovyo kama ulevi na wengine kufikia hatua ya kujiua kabisa. Inachukua nguvu kubwa sana kufikia hatua hii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In