UKURASA WA 627; Haraka Ya Zama Hizi Itakupoteza…

By | September 18, 2016
Tunaishi kwenye zama za tofauti kabisa ukilinganisha na zama zilizopita. Kwa sasa kila kitu ni haraka. Tunataka vitu haraka na tunavitaka sasa, subira imekuwa kitu adimu mno. Kasi ndiyo kipimo cha ubora kwa sasa, tunataka kusafiri kwa kasi, tunataka mtandao uwe na kasi kubwa, kusubiri dakika chache ni mtihani mgumu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In