UKURASA WA 630; Hatua Za Kuchukua Kama Huwezi Kudhibiti Hasira Zako…

By | September 21, 2016
Moja ya vitu unahitaji ili kuwa na maisha ya mafanikio, ni kuweza kudhibiti hisia zako, hasa kudhibiti hisia za hasira. Hisia za hasira zina nguvu kubwa na zinaweza kuharibu misingi yote ambayo umeshaijenga kwa ajili ya mafanikio. Wakati unafanyia kazi kudhibiti hasira zako, kama bado hujaweza kuzidhibiti, kuna mambo mawili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In