UKURASA WA 636; Ishi Maneno Yako…

By | September 27, 2016
Mara zote matendo yanaongea kwa sauti kuliko maneno. Kuna usemi wa wanafalsafa kwamba matendo yako yanaongea kwa sauti sana kiasi kwamba mtu hasikii kile unachoongea. Ukweli ni kwama unaweza kupiga kelele utakavyo, unaweza kusema chochote unachotaka kusema, lakini mwisho wa siku watu wataangalia matendo yako. Je unaishi maneno yako? Je

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In