UKURASA WA 640; Hichi Ndiyo Unapata Kwenye Maisha Yako…

By | October 1, 2016
Mara kwa mara nimekuwa nasema tunachopata kwenye maisha ni kile ambacho tunakitafuta, kile ambacho tunafanyia kazi. Na hii ndiyo maana wale wanaofanya kazi za kawaida wanapata matokeo ya kawaida. Wale wanaofanya kazi za tofauti wanapata matokeo ya tofauti. Pia kadiri mtu anaweka juhudi ndivyo matokeo yake yanakuwa bora. Lakini swali

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In