💥 #TAFAKARI YA LEO; ACHA SOKO LIAMUE….

By | October 29, 2016
Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Tutumie muda wa leo vizuri rafiki. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUACHA SOKO LIAMUE. Kumekuwa na tabia ya watu kuponda

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In