💥 #TAFAKARI YA LEO; NGUVU IPO NDANI….

By | November 6, 2016
Habari za asubuhi rafiki yangu? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu NGUVU tunayohitaji ili kuleta mabadiliko kwenye maisha yetu. Wote tunajua ya kwamba kama tunaendelea kufanya yale tunayofanya, tutaendelea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In