UKURASA WA 687; Mtu Huyu Ndiyo Mwenye Fedha Unazotafuta.

By | November 17, 2016
Kuna swali moja muhimu sana la kujiliza kama unataka kuongeza kipato chako. Ni swali muhimu na sahihi ambalo litakupa jibu sahihi la hatua unazoweza kuchukua wewe ili kupata ile fedha unayotaka kupata. Kwa mfano, kama unataka kujenga nyumba, au kununua gari, au kununua chochote ambacho ni muhimu kwako, utaanza kujiuliza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz